MUNGU ANANIPENDA

MUNGU ANANIPENDA

Mungu anakupenda kabisa! Upendo wake hauna mipaka na hauenendi na hali. Upendo wa mungu umejidhihirisha kupitia kwa Yesu kristo. Huyu mungu anayetupenda aweza dhihirika, Yeye ni wa kweli na haitaji chochote ila wewe mwenyewe ushuhudie Upendo wake na ugundue sababu ya maisha Yako katika mahusiano baina Yako na Yeye.

NAISHI KANDO NA MUNGU

NAISHI KANDO NA MUNGU

Yakushangaza, hatushuhudii Upendo wa mungu kwa sababu tumemdharau. Tunatafuta kila mahali maana na hitimizo-ila si na mungu. Hatumwamini na hatufikirii kwamba anahitaji mema zaidi kutoka kwetu. Tukienda kwa njia zetu wenyewe na matendo yetu ya kiuchoyo yatokanayo nayo ndio Biblia hiitayo dhambi. Dhambi huhasarisha na kuharibu uhusiano wetu na wengine. Dhambi hutuondoa kutoka kuishi maisha ya hitimizo ambayo mungu amekusudia kwa ajili yetu.

YESU ALIPEANA KILA KITU KWA AJILI YANGU

YESU ALIPEANA KILA KITU KWA AJILI YANGU

Dhambi zetu na matendo yetu ya uchoyo hayamfanyi mungu kuacha kutupenda. Ata akawa mtu kupitia kwa Yesu na akatoa uhai wake kwa ajili yetu. Akachukua nafasi yetu katika msalaba akibeba kila madhara ya dhambi mwenyewe.Yesu akafa-lakini akafufuka akawa hai Tena. Ametupa amani na mungu uhusiano wa kipekee naye. Kupitia Imani kwa Yesu tunaweza shuhudia Upendo wa mungu kila siku, gundua malengo yetu na kuwa na uzima wa milele baada ya kifo.

JE,NITAAMUA KUMFUATA YESU?

JE,NITAAMUA KUMFUATA YESU?

Mungu tayari ashafanya kila kitu kutuonyesha jinsi gani anavyotupenda. Kupitia kwa Yesu kristo anatupa hitimizo na uzima wa milele. Tunaweza kuongea na mungu Moja kwa moja-twa iita “maombi”-kuomba msamaha kwa kuishi maisha yetu bila Yeye. Twaweza chagua kuishi na mungu kwa kuamini Yesu kristo kutoka Sasa na kuendelea. Utaamuaje?

I have a question A prayer you can say